Habarini wadau.
Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele.
Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara.
Nikinyoa,nisiponyoa hali ni ileile.
Ila najikuna sana mpaka nasikia utamu.
Wataalamu, nikapime kipimo gani?
Kumbuka ni mwaka sasa hili tatizo lipo.
Mndele, nitamfunulia hapa mbele tu.
Sitavua yote.