Chloroquine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 217
- 112
Madam kwa mujibu wa maelezo yako itakuwa ni fungal infection hiyo inaweza kuwa ndani ukeni au kwenye pubic hair kama inavyotokea kichwani sasa mi nakushauri utumie dawa za fungus za kumeza unaweza kutumia tabs Griseofulvin 500mg kutwa mara 1 kwa siku 28 na pia nunua Gynozol cream uingize ndani ukeni kila siku usiku na pia waweza paka kwenye hilo eneo linalowasha utapata nafuu kama una chochote cha kujua zaidi unaweza kuni PM