Kitumbua cha Bibi (PAPUCHI) kuwasha sana, nini tatizo?

Kitumbua cha Bibi (PAPUCHI) kuwasha sana, nini tatizo?

Madame B @work!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa ulishadu na wahindi. wale wana chawa ambazo zinaingia moja kwa moja kwenye ngozi na siyo rahisi kuziona. mwambie mumeo MziziMkavu akupe dawa au azifukunuwe. unalo shosti.
 
Utakuwa ulishadu na wahindi. wale wana chawa ambazo zinaingia moja kwa moja kwenye ngozi na siyo rahisi kuziona. mwambie mumeo MziziMkavu akupe dawa au azifukunuwe. unalo shosti.

Mh!
Mume wangu hapa ameingiaje?
 
Je hali inakuwa wakati wa joto au imetokea tu! Hebu angalia pia nguo uzivaazo..

Sana sana ni wakati wa joto, lakini muwasho huzidi zaidi wakati wa usiku mwili ukiwa ume-relax.
Asante kwa ushauri wako kabanga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom