Kitumbua cha buku

Kitumbua cha buku

Uzi mtamu sana huu
Binafsi nimemzimikia Sana madam stellah yaani ningeoa kabisa
 
Nilianza kuisoma saa 5 usiku mpaka saa 1 asubuh nonstop.
Iko vzuri sana. [emoji91]
 
IMG-20170904-WA0040.jpg
 
Nikikumbuka life langu la nyuma huko,
Mi na Kipanta nafkiri baba yetu mmoja😅😅😅
 
Fundisho nzuri sana kwa wastaafu wa sasa na watarajiwa juu ya matumizi sahihi ya Mafao.
 
Back
Top Bottom