KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME
1738412336010.jpg

Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅

Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation, kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine
mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Jinsi ya kukitumia.
Asubuhi chukua punje nne hadi sita kisha meza kama unavyomeza vidonge kwa kusukumia maji au unaweza kutumia maziwa ya mtindi.... fanya hivyo pia kabla ya kulala.

N.B kitunguu saumu sishauri ukitumie kama wewe ni mgonjwa wa presha ya kushuka.

Pia kwa wanaume, ikiwa unahitaji kuwa unstoppable katika tendo la ndoa zingatia au ongezea hivi vitu kwenye ratiba yako ya siku ili uone utamu wa kuwa kidume zaidi
 
Back
Top Bottom