Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
KITUNGUU SAUMU kinamsaidia vipi muathirika wa nyeto 👇🏼
Kitunguu saumu kina allicin, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.
Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.
Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.
Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzunguko mzuri wa damu hadi kwenye maungo ya uzazi.
Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo 🥒 kusimama na hivyo kustahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Jinsi ya kukitumia.
Asubuhi chukua punje NNE hadi sita kisha meza kama unavyomeza vidonge kwa kusukumia maji au unaweza kutumia maziwa ya mtindi.... pia usiku fanya hivyo kabla ya kulala.
N.B kitunguu saumu sishauri ukitumie kama wewe ni mgonjwa wa presha ya kushuka.
Pia kwa wanaume, ikiwa unahitaji kuwa unstoppable katika tendo la ndoa zingatia au ongezea hivi vitu kwenye ratiba yako ya siku ili uone utamu wa kuwa kidume zaidi.
1: Mazoezi ya Kegel.
Kama una ratiba ya mazoezi ni vizuri sana lakini kama unasema muda hauna wa kufanya mazoezi jitahidi angalau ufanye zoezi hili la kegel maana halihitaji muda mwingi.
Jinsi Ya Kulifanya
• Lala chali kisha kunja miguu yako
• Vidole vya mikono viguse visigino kisha binua kiuno kwenda juu mpaka uhisi misuri ya kiuno imekaza kwa nusu dakika kisha shuka (rudia zoezi kwa raundi 15 asubuhi na usiku inatosha)
2: Kunywa maji ya kutosha, kula vyakula vyenye omega 3, nitrate, zinc, potassium na bromelain ya kutosha kwa mfano ndizi, muhogo wa kuchemsha, pweza au chaza, bamia, beet roots, tangawizi, mdalasini, habat sawda, Karanga, mbegu za maboga, pilipili, mboga zote za kijani.
Epuka matumizi ya vilevi, acha kupiga punyeto, punguza vyakula vya kukaushwa kwa mafuta mengi, acha kuangalia picha za ngono kisha weka imani katika kujiweka imara kiafya.
Kwa siku 30 ukizingatia hili kuna mengi utayaona na hakika utakumbuka kuniandikia ujumbe wa Ahsante Dokta Kwa Msaada Wako!
Kama utakoswa Muda usijali, NIMEKUANDALIA TIBA ASILIA yenye kukidhi mahitaji, ni TIBA YA KUNYWA na MAFUTA YA KUIMARISHA UUME.
JUISI ni kwa ajili ya kuongeza homoni za kiume kwa wingi na kuwa na hamu hata baada ya bao la kwanza, huondoa tatizo la kuwahi kufika kilele/mshindo na kutoa manii mengi, bora na yenye Afya.
MAFUTA huondoa udhaifu wa uume, hunyoosha maumbile na kukuza uume kama unaonekana mdogo wa kurudi ndani