Kitunguu swaumu kinaongeza kuvu za kiume?

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
43
Wana JF naomba msaada wenu kuhusiana na matumizi ya Kitunguu swaumu (garlic).
Nafahamu kitunguu swaumu kinamanufaa mengi sana mwilini na kuna ushaidi(medical evidence)kwamba matumizi ja kitunguu swaumu yanaweza kutibu magonjwa kadhaa, mfano maumivu ya kichwa, matatizo yahusianayo na mzunguko wa damu, mafua n.k.
Kuna rafiki yangu alishauriwa kutumia kitunguu swaumu (kila siku) ili aweze kuongeza nguvu za kiume. Je kunaukweli wowote(au uwezekano) kuhusu hili?
 
Ndugu yangu kama una tatizo la nguvu za kiume nenda karibu na Hospitali iliyo karibu nawe kamwone daktari utapata maelekezo kuliko kuanika JF
 
Hujanielewa, mimi natakakujua kama ni kweli au la kutokana na experience za watu!
 
Na mashoga nao wanasema inasaidia....sasa apo sijui zumuni haswa la hiki kitunguu mbona kila sehemu kinatoa msaada
 
Sina uhakika na hili. Miaka ya karibuni kitunguu swaumu kimepata umaarufu mkubwa sana katika nchi za magharibi hasa baada ya kufahamu kwamba kina manufaa mengi mwilini. Kwa kuwa hawajui namna ya kukitumia kwenye vyakula basi hukitafutana kizima kizima na pia tangawizi huzitafuna (baada ya kuondoa maganda).
 
Hii ni kweli wapo wanaokisifia;na inawezekaana wakiboresha kama GONGO-KONYAGI,tunaweza pata hata dawa ya ukimwi uko mbeleni
 
Hujanielewa, mimi natakakujua kama ni kweli au la kutokana na experience za watu!
Kama rafiki yako aliyeshauriwa kutumia alifanya hivyo kwa nini usimuulize yeye matokeo yalikuwaje? Au fanya experiment mwenyewe halafu utupe matokeo.
 
Msaidieni jamani!! Mbona kama mnakwepa hoja yake ya msingi?
 
Sidhani kama kinaongeza nguvu za kiume! Ila kwa magonjwa kinaweza saidia kutibu
 
kijana kitunguu swaumu hakiongezi nguvu za kiumme...full stop. au kama una swali lingine uliza
 
misaada mingine yataka moyo..............yeye amepata experience kwa rafiki yake tungemwomba atupe majibu na matokeo ya utafiti wa rafiki yake ili nasi tuyafanyie kazi...............
 
Ndugu yangu kama una tatizo la nguvu za kiume nenda karibu na Hospitali iliyo karibu nawe kamwone daktari utapata maelekezo kuliko kuanika JF
Hivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,

muuliza swali, ni hivi kitunguu kina vit E kwa wingi, na vitamini hii ndiyo usaidia ktk mambo ya uzazi, habari ndo hiyo
 
Sidhani kama kinaongeza nguvu za kiume! Ila kwa magonjwa kinaweza saidia kutibu

kijana kitunguu swaumu hakiongezi nguvu za kiumme...full stop. au kama una swali lingine uliza

Hivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,

muuliza swali, ni hivi kitunguu kina vit E kwa wingi, na vitamini hii ndiyo usaidia ktk mambo ya uzazi, habari ndo hiyo
Ukiona hauna majibu nyamaza, kitunguu swaumu kianaongeza saaaaana tu, tatizo lenu ninyi mnataka haraka kama viagra, ukimeza saa hiyo hiyo, haiwezekani kinafanya kazi taratibu. mpo hapo
 
Hivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,

muuliza swali, ni hivi kitunguu kina vit E kwa wingi, na vitamini hii ndiyo usaidia ktk mambo ya uzazi, habari ndo hiyo
kumbe majibu yapo...............
kwa hiyo muuliza swali kale vitunguu swaumu kwa wingi utapata vitamin e hatimaye nguvu za kiume.............
ila sidhani kama hii ni guarantee
 
Inatakiwa asiwe na magonjwa mengine, kama vile kisukari, pressure nk, maana haya magonjwa yanapunguza nguvu hizi.
 
Hii ni kweli wapo wanaokisifia;na inawezekaana wakiboresha kama GONGO-KONYAGI,tunaweza pata hata dawa ya ukimwi uko mbeleni
Ni kweli Pdidy, hapo juzi-kati nilisikia kinatibu mafua ya Nguruwe(Swine flue) huko China!
 
Back
Top Bottom