Ndugu yangu kama una tatizo la nguvu za kiume nenda karibu na Hospitali iliyo karibu nawe kamwone daktari utapata maelekezo kuliko kuanika JF
Mkuu Mayala Luswetul Muache aulize swali atajibiwa hujuwi kuwa JamiiForums ni chuo Kikuu hapa kuna Maprofesa ,wataalam wa kila aina hapa usifikiri wewe hujuwi faida ya
kitunguu Swaumu basi na wengine hawatajuwa kama wewe Mkuu Mayala Luswetul? Yapo maradhi amabayo Huko Mahospitali mpaka sasa hayatibiki kwa mfano Maradhi ya
Wendawazimu,Kifafa,Pumu,kensa,Kupoza mwili,kiharusi,Ugonjwa wa kisukari,Maradhi yatokanyo na Uchawi na yapo Maradhi mengi sana lakini ukienda kwa Wataalam
wanajuwa Dawa za kienyeji wanakuponyesha na ukapona kabisa Faida ya kitungu swaumu ni nyingi sana nakutolea kwa uchache wake ni hivi Kitunguu swaumu
kinasafisha Damu kutokana na Mafuta (Cholesterol) ambayo husababishwa na Magonjwa kudhihikika mshipa wa ateri na maradhi ya Moyo,na pia Kitunguu Swaumu husafisha
Damu kutokana na vijidudu na Maikrobati kuliko viua vijisumu (Antibiotic) vyengine.Pia Kitunguu Swaumu husaidia kuzuia kuenea Sumu ya Nyoka katika mwili wa Mwanadamu,pia husafisha Maida kutokana na Vimelea (Parasites)
Maradhi yanayotibu kutokana na Kitunguu swaumu ni Mengi sana kitunguu kinasaidia mgonjwa wa Maradhi ya Shinkizo la Damu kwa lugha ya Kitaalam (High Blood) lakini
baada ya kutulia utasimama kukitumia.hi inasaidi mtu mwenye maradhi ya Moyo Pressure ya kupanda juu inashusha hiycho kitungu swaumu. Kitunguu kinatibu MTU
MWENYE GESI YA TUMBO,NA MCHANGO WA KUSOKOTA TUMBO(Colic) kitunguu Swaumu kinatibu mtu mwenye ugonjwa wa (Typhoid)utaweka vitunguu punje 5 na Asali kijiko kimoja na na Maziwa moto na utakunywa kabla ya kulala,na utaupaka uti wa
Mgongo wako mafuta ya kitunguu swaumu yaliyo changanywa na mafuta ya Zeti (mafuta ya mzaituni) na Asubuhi utavuta moshi wa kitunguu swaumu kwa muda wa dakika 5 utapona hayo maradhi yako,
Nguvu za kiume Atakichukuwa Kitunguu swaumu akisage halafuakitie katika mafuta ya Zeti,na aweke katika moto mdogo mpaka iwe rangi manjano,halafu atatia katika chupa,na wakati na wakati wa haja yake atapaka katika Jogoo wake hiyo dawana ataosha baada ya saa moja basi atakuwa na nguvu za ajabu kweli.
na na yapo maradhi mengi yanayotibiwakwa kitunguu Swaumu tutayaeleza baadae hiyo ndio Faida ya Kitunguu Swaumu sio Mkuu Mayala Luswetul Kumkatisha mtu Tamaa aulizae anataka kujuwa kwa hiyo muache apate kujibiwa sio umwambie aende Hospitali
kwani yeye hajuwi kuwa kuna Hospitali? kwanini kauliza hapa? kauliza hapa apate faida za watu wajuao Faida ya kitunguu swaumu Asanteni sana.
Garlic, The Natural Antibiotic87
The time for sickness is here. The pharmacies are packed, and the doctors are full. As you begin to calculate the costs of doctor visits and prescriptions you wonder, "Is there a better way?"
I too found myself racking up hundreds of dollars in medical bills, treating recurrent infections, and spending a lot of money on antibiotics. Finally, I found a way to treat myself and to better my health in general.
I had heard that garlic was nature's antibiotic, but like anyone else, I was skeptical at first; until I got a urinary tract infection and couldn't afford another doctor bill. I went to my local pharmacy, paid about five bucks for a bottle of garlic, and downed it like candy.
I was amazed at the results. In approximately twenty-four hours, I was totally pain free. From then on I was hooked. I have used it several times since to treat various infections and sicknesses, and it is even safe to give to my children.
What is it about garlic that causes it to bring about these great benefits? Well, when a garlic bulb is crushed, it produces allicin. Allicin is a natural antibiotic and anti-fungal.
This is the substance that fights against sickness, infections, and fungus.
When allicin is produced by crushing the garlic bulb, its effectiveness immediately begins to deteriorate. Cooked garlic provides little or no medicinal value. This is why that you must use fresh garlic immediately and in the raw form in order to benefit.

Now, many supplement manufacturers have found a way to process the garlic and still retain the allicin, thus preserving its medicinal benefits. This is obviously the way to go if you want to get to the root of a problem fast (and you don't want bad breath).
Start by taking several capsules a day and increase the amount if you don't get the relief you need. I have taken as many as 30 or more softgels a day when I was desperate. I'm
not saying that I necessarily advise taking this many, this is just what I have done. And buddy, it took care of it. It may be a good idea to keep taking the garlic for a few days even after the pain is gone, just to make sure that the bacteria is out of your system.
IMPORTANT: After taking garlic, or any antibiotic for that matter, it is very important to take a probiotic formula to replenish the friendly bacteria in the intestinal tract. Antibiotics unfortunately don't just go after the "bad guys." They are there to kill bacteria, whether
it's good or bad. Since some bacteria is necessary, such as acidophilus and it's relatives, it's up to you to replenish this friendly flora so you won't run into problems later. If this is ignored, you will likely get candida (yeast) overgrowth. This will result in yeast infections
and other health problems which you will need an antibiotic. And thus, the vicious cycle begins. This is why many adults and children alike run to the doctor over and over fighting the same old problems. This frustrating cycle could have been eliminated if only probiotics were taken after the antibiotics. Too often, doctors never tell this to their patients so the population for the most part remains uninformed.
Not only is garlic excellent as an antibiotic, but it has a host of other benefits as well. It's very beneficial to the cardiovascular system and is a great system cleanser. Studies have shown the benefits of garlic when dealing with blood pressure problems, and high
triglycerides. Garlic has even been used in the treatment and prevention of cancer.
So what do we have to lose? Stock up on this powerful wonder supplement/food and live healthier today!
Don't forget to get the probiotics too!
Garlic As the Natural Antibiotic