Serendipity
JF-Expert Member
- Jan 24, 2009
- 486
- 43
Hujanielewa, mimi natakakujua kama ni kweli au la kutokana na experience za watu!Ndugu yangu kama una tatizo la nguvu za kiume nenda karibu na Hospitali iliyo karibu nawe kamwone daktari utapata maelekezo kuliko kuanika JF
Kama rafiki yako aliyeshauriwa kutumia alifanya hivyo kwa nini usimuulize yeye matokeo yalikuwaje? Au fanya experiment mwenyewe halafu utupe matokeo.Hujanielewa, mimi natakakujua kama ni kweli au la kutokana na experience za watu!
Kama rafiki yako aliyeshauriwa kutumia alifanya hivyo kwa nini usimuulize yeye matokeo yalikuwaje? Au fanya experiment mwenyewe halafu utupe matokeo.
na mashoga nao wanasema inasaidia....sasa apo sijui zumuni haswa la hiki kitunguu mbona kila sehemu kinatoa msaada
misaada mingine yataka moyo..............yeye amepata experience kwa rafiki yake tungemwomba atupe majibu na matokeo ya utafiti wa rafiki yake ili nasi tuyafanyie kazi...............Msaidieni jamani!! Mbona kama mnakwepa hoja yake ya msingi?
Hivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,Ndugu yangu kama una tatizo la nguvu za kiume nenda karibu na Hospitali iliyo karibu nawe kamwone daktari utapata maelekezo kuliko kuanika JF
Sidhani kama kinaongeza nguvu za kiume! Ila kwa magonjwa kinaweza saidia kutibu
kijana kitunguu swaumu hakiongezi nguvu za kiumme...full stop. au kama una swali lingine uliza
Ukiona hauna majibu nyamaza, kitunguu swaumu kianaongeza saaaaana tu, tatizo lenu ninyi mnataka haraka kama viagra, ukimeza saa hiyo hiyo, haiwezekani kinafanya kazi taratibu. mpo hapoHivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,
muuliza swali, ni hivi kitunguu kina vit E kwa wingi, na vitamini hii ndiyo usaidia ktk mambo ya uzazi, habari ndo hiyo
kumbe majibu yapo...............Hivi wewe humpendi rafiki yako, hospitari kumuona daktari 20,000/= hapo dawa bado vipimo nk,
muuliza swali, ni hivi kitunguu kina vit E kwa wingi, na vitamini hii ndiyo usaidia ktk mambo ya uzazi, habari ndo hiyo
Inatakiwa asiwe na magonjwa mengine, kama vile kisukari, pressure nk, maana haya magonjwa yanapunguza nguvu hizi.kumbe majibu yapo...............
kwa hiyo muuliza swali kale vitunguu swaumu kwa wingi utapata vitamin e hatimaye nguvu za kiume.............
ila sidhani kama hii ni guarantee
Wabongo mnapenda shortcut..how pitty.
Ni kweli Pdidy, hapo juzi-kati nilisikia kinatibu mafua ya Nguruwe(Swine flue) huko China!Hii ni kweli wapo wanaokisifia;na inawezekaana wakiboresha kama GONGO-KONYAGI,tunaweza pata hata dawa ya ukimwi uko mbeleni