Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Mkuu Zion Daughter Mbona unaleta maneno ya mkuu.@kukucd Kwenye Thread yangu hii? bado hayaja kwisha tu? usilete umbea huku tafadhali mkuu.
Naona hauko sawa sijui.Mimi nimemjibu swali aliyeuliza na sina tabia za umbeya.Nia yangu ni kuelimisha jamii.Samahani kama nimekukwaza.
Last edited by a moderator:

