P Pandamlima Senior Member Joined Feb 27, 2013 Posts 143 Reaction score 13 Jul 23, 2013 #1 Salamu wadau, kuna rafiki yangu kaniambia kitunguu swaumu ukipaka kwenye kijipu ambacho hakijaiva basi fasta jibu linaiva na unamalizana nalo....naomba ushauri wadau nisije nikapaka kumbe balaa
Salamu wadau, kuna rafiki yangu kaniambia kitunguu swaumu ukipaka kwenye kijipu ambacho hakijaiva basi fasta jibu linaiva na unamalizana nalo....naomba ushauri wadau nisije nikapaka kumbe balaa