Pandamlima
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 143
- 13
Salamu wadau,
kuna rafiki yangu kaniambia kitunguu swaumu ukipaka kwenye kijipu ambacho hakijaiva basi fasta jibu linaiva na unamalizana nalo....naomba ushauri wadau nisije nikapaka kumbe balaa