Tunguja JF-Expert Member Joined Feb 15, 2018 Posts 457 Reaction score 339 Mar 22, 2019 #1 Tunaambiwa juice ya huo mchanganyiko ni dawa ya kuondoa mafuta machafu mwilini na kupunguza uzito, lakini kwangu mimi imekuwa tofauti kabisa,kila nikinywa hii natokwa na mijipu mikubwa ajabu, nini tatizo? Kujeni wataalam Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaambiwa juice ya huo mchanganyiko ni dawa ya kuondoa mafuta machafu mwilini na kupunguza uzito, lakini kwangu mimi imekuwa tofauti kabisa,kila nikinywa hii natokwa na mijipu mikubwa ajabu, nini tatizo? Kujeni wataalam Sent using Jamii Forums mobile app