Kitunguu swaumu + limau vina madhara kwangu.

Kitunguu swaumu + limau vina madhara kwangu.

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
457
Reaction score
339
Tunaambiwa juice ya huo mchanganyiko ni dawa ya kuondoa mafuta machafu mwilini na kupunguza uzito, lakini kwangu mimi imekuwa tofauti kabisa,kila nikinywa hii natokwa na mijipu mikubwa ajabu, nini tatizo? Kujeni wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom