Kwahiyo boss Mimi kusema ukweli kwamba faragha haizingatiwi natia kiwingu Cha ridhiki za wakorea?Shida ya waafrika ni majungu, uchawi, wivu, aibu na kutiana nuksi, hapo umesifia kwamba wanatoa huduma bora na hapohapo umewatia mkwara wa kuwapeleka popote wasipo kusikia matakwa yako, wenzetu wameendelea na kustaarabika wara hawaoni aibu kwa maswala muhimu ya kiafya, wewe kama unaona vipi katafute huduma sehemu tofauti acha kutilia watu kiwingu cheusi.
Namana huoni, wewe kama unajari sana faragha kuliko ubora wa huduma katafute sehemu nyingine, kuwatia kiwingu ni hapo ulipowatishia kwamba utawapeleka popote, huoni kama ni mkwara mzito sana, badala yake ungewaomba kistaarabu kama ipo ndani ya uwezo wao na si vinginevyo.Kwahiyo boss k
Kwahiyo boss Mimi kusema ukweli kwamba faragha haizingatiwi natia kiwingu Cha ridhiki za wakorea?
Kwenye sekta ya Afya faragha kwa mgonjwa na mtoa huduma ni lazima.Namana huoni, wewe kama unajari sana faragha kuliko ubora wa huduma katafute sehemu nyingine, kuwatia kiwingu ni hapo ulipowatishia kwamba utawapeleka popote, huoni kama ni mkwara mzito sana, badala yake ungewaomba kistaarabu kama ipo ndani ya uwezo wao na si vinginevyo.
Tafuta kituo tofauti kama unaona hicho ni hatarishi kwa faragha yako.Kwenye sekta ya Afya faragha kwa mgonjwa na mtoa huduma ni lazima.
Mkuu naheshimu mawazo Yako!Namana huoni, wewe kama unajari sana faragha kuliko ubora wa huduma katafute sehemu nyingine, kuwatia kiwingu ni hapo ulipowatishia kwamba utawapeleka popote, huoni kama ni mkwara mzito sana, badala yake ungewaomba kistaarabu kama ipo ndani ya uwezo wao na si vinginevyo.
Acha ubishi. Hiyo sera ya wizara ya Afya.Tafuta kituo tofauti kama unaona hicho ni hatarishi kwa faragha yako.
Mbishi ni wewe unaedandia daladala kwa mbele, na kubishana bila kujua unachokibishania.Acha ubishi. Hiyo sera ya wizara ya Afya.
Hivi hapa JF kuna kudandia hoja, kila hoja inaonekana wazi. Kubali unatumia nguvu ya hoja.Mbishi ni wewe unaedandia daladala kwa mbele, na kubishana bila kujua unachokibishania.