KERO Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza fedha kwa chanjo ya watoto. Je, ni sawa?

KERO Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza fedha kwa chanjo ya watoto. Je, ni sawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza pesa kwa watoto upande wa chanjo yaani matone kwa watoto miezi 9 wanalipia elfu 5 na sindano wanachomwa bure bila malipo wakati chanjo yoyote kwa watoto ni bure hospitali ya serikali.
 
unataka watoze nini? na wale wapi hao medical attendant na nurses kenge maji😂😂
 
Back
Top Bottom