DOKEZO Responded Kituo cha Afya Mtae cha Lushoto - Tanga Wajawazito wanalipia hela ya Upasuaji bila Control Number na hakuna risiti

DOKEZO Responded Kituo cha Afya Mtae cha Lushoto - Tanga Wajawazito wanalipia hela ya Upasuaji bila Control Number na hakuna risiti

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Lushoto 44.jpg
Lushoto 5.jpg
Lushoto 222.jpg
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number kama inavyotakiwa hali inayosababisha kuongezeka kwa wamama kujifungua kwa njia ya upasuaji.

Soma Pia:
Hata hizo risiti za karatasi hatupewi, tunaambiwa tuende mapokezi tu unalipia basi. Tukihoji kuhusu huduma za uzasi bure hatupewi majibu yanayoeleweka.

Soma Pia: Naibu Waziri wa Afya- Dkt. Florence: Wajawazito wapate huduma za afya bila kikwazo cha fedha
 
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number kama inavyotakiwa hali inayosababisha kuongezeka kwa wamama kujifungua kwa njia ya upasuaji

Hata hizo risiti za karatasi hatupewi, tunaambiwa tuende mapokezi tu unalipia basi. Tukihoji kuhusu huduma za uzasi bure hatupewi majibu yanayoeleweka.
hiyo hata ikilipwa kweny control namba si inaenda kuibiwa vile vile tu

Kwahyo fulana yakl ni ikiibiwa na wakubwa
 
Back
Top Bottom