Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
ZIARA YA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA KATAVI MHE. MARTHA FESTO MARIKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA SIBWESA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Katavi na kutembelea kituo cha Afya cha Sibwesa
Mhe. Martha Festo Mariki amefanya Mkutano wa Ndani na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ngazi ya Kata, Matawi, Mabalozi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kasekese
Pia, Mhe. Martha Festo Mariki ametembelea mradi wa BOOST uliopo Kata ya Kasekese ambapo amekagua maendeleo ya mradi huo na kuwakuta mafundi wakiendelea na ujenzi wa miundombinu ya mradi wa BOOST.
Attachments
-
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.10.14.jpeg132.3 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.10.23.jpeg120 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.10.25.jpeg133.7 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.10.26.jpeg47.9 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.10.48.jpeg149.3 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.11.06.jpeg127.4 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2023-07-06 at 11.11.29.jpeg120.3 KB · Views: 4