Kituo cha Daladala Bunju B kiondolewe, kinasababisha foleni

Kituo cha Daladala Bunju B kiondolewe, kinasababisha foleni

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kituo cha Daladala Bunju B tunaomba kiondolewe mahili kilipo sasa kisogezwe sehumu nyingine.

Kituo hicho kinasababisha foleni muda wote, nimepita hapo leo saa 12 asubuhi foleni ni kubwa sana imechukuwa takribani dakika 10 kupita hapo.

Pia wafanyabiashara wameingia mpaka eneo la barabara hali inayosababisha foleni kwani inalazimika daladala kushusha na kupakia barabarani.

Nafikiri mamlaka husika zifanye kazi zake.
 
Dakika 10 mbona chache sana, ka lengo lako ni kwenda fumania utawahi tu.

Wapo wanaokaa dakika 25-45 mbagala/gongo la mboto/buguruni na kimara enzi hizoo.
 
Back
Top Bottom