Kituo cha kura chatekwa Kenya.

Kituo cha kura chatekwa Kenya.

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,040
Reaction score
7,303
Kikundi cha watu wenye silaha kimeteka nyara vituo viwili vya kupigia kura huko Garissa Kaskazini mwa Kenya karibu mwa mpaka wake na Somalia.

Vilevile imeelezwa kuwa watu wapatao 19 wameuawa katika matukio mbalimbali yanayohusiana na uchaguzi.

Chanzo: Gazeti la Metro 5.3.13

uchaguzi kenya.jpg
 
inawezekana kinana na wenzake ndio mbinu walizopeleka Kenya,ccm bana!
 
Kinana @work.

When i had of his move to Kenya i was very disappointed.
 
Back
Top Bottom