Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano.

.

nGOJA NI KWAMBIE MTWA, KAMA WANAUME WOTE WAKIDHAMILIA KUSUBIRI WANAWAKE NAO WATASUBIRI KWANI UTAPATA WAPI MWANAUME WA KUKUIBIA HAZINA YAKO. ZAMANI MWANAMKE AKIOLEWA HALAFU WAKAGUNDUA ALISHA UZA ILE DHAHABU BASI ILIKUWA NI AIBU KUBWA SANA KWA UKOO WA MWANAMKE HASA FAMILIA YAKE. KWA HIYO WAZAZI WALISHIRIKI SANA KUWA LINDA BINTI ZAO NA KUWAELIMISHA JUU YA KUTOONJA HADI WATAKAPO OLEWA. LAKINI LEO GLOBALIZATION IMETUHARIBIA KILA KITU NA DNDIO MAANA TUNANDOA ZA MIKEKA SANA.

LAKINI BADO TUNANAFASI YA KUREKEBISHE . KILOA ALIYE MZAZI AJUE WAJIBU WAKE SI KUWANUNULIA WATOTO MIDOLE NA TV BALI HATA KUWAAMBIA MAMBO MAGUMU.
 
Hii ni I'd ya 2 ya Himo One yule mtoa ajira mkuu TZ ameona ile DECI imefail kaja na hii
 
hii ni i'd ya 2 ya himo one yule mtoa ajira mkuu tz ameona ile deci imefail kaja na hii

nguli usiwe mvivu wa kuelewa,, wewe ni mtu mzima , kesho na leo utakuwa mzazi pengine tayari. Kwani huji umuhimu wa jambo linalo ongelewa. Pia hatuja sema tunataka fedha wala kitu chochote. La msingi toa mawazo yako ya kujenga najua unayo.
 
nshukuru kwa angalizo hilo, kama wanawake watakataa kabisa wanaume hawana ujanja kabisa, lakini sasa wao wangawa sana na wengine amini usiamini wamezidi nasema wamezidi sana, na wengine ndo hivyo wanakuwa na watu zaidi ya mmoja wadada hao!!
na kuna wanaume wengi wamedanganywa, si unajua wapo innocent boys. Wengi sana wameingia mkenge mkali. Anyway watu wangu wa karibu walidanganywa wakawa wanamini demu zao, wapo mbali nao, kumbe wanamwe*wa ile mbaya. hadi kugundua ndoa imetangazwa. Japo wanaume inasemwa ndo chanzo cha mabadiliko lakini WANAWAKE WAANZE KUKATAA MAOMBO SERIOUSLY otherwise kuonja lazima nasisitiza.
 
sidhani kuwa hii inafanana na DECI, maana ile ilikuwa ya watu fulani wa serikali, halafu huyu si anatoa bure! Samahani msiulize kwa nini nasema ilikuwa ya watu ... wa ser....... Naona maana kama wangekuwa wa kawaida zile hela zetu zingerudi au wao wakajulikana hatma yao lakini mh!!!!
Msimuhusishe huyu jamaa, hii naona no tofauti kabisa
Hii ni I'd ya 2 ya Himo One yule mtoa ajira mkuu TZ ameona ile DECI imefail kaja na hii
 

hapa umeongea lakini ni pande zote mbili tunatakiwa kulaUMIWA. Hivi mtu USIPO onja ukasubiri hadi kipyenga kipigwe utakufa?? Au utaota upele/ manyoya mwili mzima??. Nasikia kule marekani kuna vilabu kabisa vya wasio onja. Ila onja ojna siyo nzuri na ndio nwanzo wa matatizo yote ya ndoa huna sababu ya kuonja
 
Nitatamani kufikakituoni kwako baada ya miezi mitatu au sita baada ya kufungua, utakuta wengi wa wanaokuja ni wale ambao hawakusomana vizuri kabla ya kuoana.
Kama una nia nzuri, ni vema sana kujua kabisa lakini labda kwa wale wanaoonja kama mbege hapa- pale kule. Lakini kama unaye huyo tu aahh! bwana!
Anyway ni kweli kusubiri kama pande zote zingekuwa vile, lakini leo hii binti ukitongoza tu anataka alale chumbani kwako, halafu ukikataa ndo mwanzo wa kumkosa. Najiuliza,
una mtu mwingine,
Siyo rijali
Hujiamini
Na ndipo Jamaa waliopo mitaani wanamega kiulainiiiii halafu wewe unasubiri siku ya vigelegele.
Halafu ka akina sisi wapenda sherehe kubwa, basi maandalizi miezi! sikku zote hizo na jamaa kibao wanamsumbua! unaibiwa LIVE!
lAZIMA TWENDE NA MAZINGIRA kiukweli japo inatakiwa hivyo
 

Unajua hakuna kitu kibaya na kinacho leta maumivu kama kujua kuwa uliye mwamini tena kuwa naye maisha yako yote amekudanganya. Pengine umejua hilo siku mbili baada ya kuoana. Ukifikilia safari iliyo mbele unaona ni giza nene. Ndoo maana wengi wamepoteza matumaini kabisa. Kubwa zaidi pale unapo jua kwa alionja kwa nani, pengine ni jirani yako. Ni sawa na mtu kukuvua nguo zote mtaani. Kwa kweli ndoa za sasa ni mateso. Watoto wetu nawahurumia. Usiku mwema.
 
sifa za mume ninayemtaka....:teeth::whoo::whoo::hungry::A S-alert1:

Tabutupu,umejipangaje ku-respond kwa concerns za clients kama hawa?Usijekuta ndo mpango wako wa kutunasa,tunakuja kulia hapo unafariji huku wazima taa eeh?
 
Asante Lakini kwa vile kuna wanaume wachache wanaotuharibia wanawake zetu tunaowaoa kwa kutongozax2 ovyo Basi dawa ni hawa wadada kuwatia aibu kama wanavyofanya kwa akina fataki
baada ya hapo kila mtu atasubiri tu, lakini wao wanawapa nafasi mafataki, sasa wewe ili uoe lazima uwe makini sana, na kufuatilia sana
kuwa je dege lisiloliwa halijapitia, na kama limepitia je halijaacha shombo?
 

nguli usiwe mvivu wa kuelewa,, wewe ni mtu mzima , kesho na leo utakuwa mzazi pengine tayari. Kwani huji umuhimu wa jambo linalo ongelewa. Pia hatuja sema tunataka fedha wala kitu chochote. La msingi toa mawazo yako ya kujenga najua unayo.

Mkuu jibu maswali ya comrade hapo juu then tuendelee kuchangia mada yako. Unavyojibu tafadhali tufahamishe umedumu kwenye ndoa tajkatifu/serikali kwa muda gani? na yako haijawahi kupata mtikisiko?
 
Mkuu jibu maswali ya comrade hapo juu then tuendelee kuchangia mada yako. Unavyojibu tafadhali tufahamishe umedumu kwenye ndoa tajkatifu/serikali kwa muda gani? na yako haijawahi kupata mtikisiko?

swali la msingi sana
 
tabutupu,umejipangaje ku-respond kwa concerns za clients kama hawa?usijekuta ndo mpango wako wa kutunasa,tunakuja kulia hapo unafariji huku wazima taa eeh?

king'asti nashukuru kwa swali zuri. Sijasema mimi ndoo mtatuzi mkuu wa kuongea na watu direct. Nimesema naanzisha kituo ambacho kitakuwa na wataalaam watakao kidhi mahitaji ya jamii husika. Kwa mfano haita ruhusiwa mwanamke kujieleza matatizo yake kwa mwanaume labda kwa kessi maalumu tuu. Pia kutakuwa na sheria za kulinda privancy za clients na atakaye kiuka atachukuliwa hatua zinazo faa.

Alicho kisema roselyne1 hapo juu wala si cha ajabu kwani ni mawazo yake na ana haki ya kuyasema. Kwa hiyo ondoa hofu, sheria zitakulinda na mazingira ya kazi yatakuwa wazi kabisa.
 
Mkuu jibu maswali ya comrade hapo juu then tuendelee kuchangia mada yako. Unavyojibu tafadhali tufahamishe umedumu kwenye ndoa tajkatifu/serikali kwa muda gani? na yako haijawahi kupata mtikisiko?

Naungana na wewe, nitakuwa mtu wa ajabu kutatua matizo nisiyo yaishi. Nafikiri pia sio ndoa ambayo haijawahi kupata mtikisiko. ndoa zote zinamatatizo lakini jambo la msingi ni uwezo wa kutatua na kujenga mahusiano miongoni mwa wanandoa..
 

Mkuu hongera kwa business idea.
Kuna Dr Temba sijui ni Tembe, Mch. DR Lwakatare naye anatoa hiyo huduma, angalia jinsi ya kupata uzoefu zaidi.
 
Mkuu hongera kwa business idea.
Kuna Dr Temba sijui ni Tembe, Mch. DR Lwakatare naye anatoa hiyo huduma, angalia jinsi ya kupata uzoefu zaidi.

Nashukuru kwa kutambua hilo, japo watu tusiogope sana kwa hofu eti unaweza ukafanya mambo kinyume na matarajio. Kubwa zaidi unatakiwa uwe ni mtu unaye mwogopa Mungu kuliko chochote utakacho kipata kutokana na huduma yako. Na watu wasisite kuwa ona wahsuri wa mambo ya ndoa kwani ni jambo jema na si dhambi. Mungu akubariki.
 
hivi kama nina kila kitu kuna haja gani ya kuolewa,lini huu utumwa wa kuoana utaisha jamani,maana kama nikishikwa natafuta chakula naendelea na utaratibu wangu,ya nini preasure maisha yenyewe mafupi jamani
 
hivi kama nina kila kitu kuna haja gani ya kuolewa,lini huu utumwa wa kuoana utaisha jamani,maana kama nikishikwa natafuta chakula naendelea na utaratibu wangu,ya nini preasure maisha yenyewe mafupi jamani

kUOLEWA SIO LAZIMA MY DEAR, ILA NI JAMBO JEMA. MUNGU ANAPENDA WATU WAOANE, WAISHI MAISHA YENYE FURAHA NA WAZAE MUNGU AKIPENDA ILI DUNIA IENDELEE KUWA NA HAWA VIUMBE NA NDIO ANGIZO LAKE KWETU.

PILI KUISHI KATIKA NDOA NI MAISHA YANAYO PUNGUZA PRESSURE, MAGONJWA YASIYO NA LAZIMA, KUNA RAHA YA AJABU SANA MY DEAR. NAJUA PENGINE KUNA JAMBO LIMEKUKATISHA TAMAA AU LIMEKUJERUHI HATA HUPENDI KUSIKIA HILO JAMBO. KAMA NI HIVYO CHUKUA HATUA MAANA PAMOJA NA KUWA UNA KILA KITU, KUOLEWA BADO NI JAMBO MUHIMU SANA KWAKO.

ONDOA HOFU SHOSTI, KUNA UPENDO WA AJABU NA RAHA YA AJABU UKIPATA MWENZA TOKA KWA BWANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…