Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano.

Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano.

kUOLEWA SIO LAZIMA MY DEAR, ILA NI JAMBO JEMA. MUNGU ANAPENDA WATU WAOANE, WAISHI MAISHA YENYE FURAHA NA WAZAE MUNGU AKIPENDA ILI DUNIA IENDELEE KUWA NA HAWA VIUMBE NA NDIO ANGIZO LAKE KWETU.

PILI KUISHI KATIKA NDOA NI MAISHA YANAYO PUNGUZA PRESSURE, MAGONJWA YASIYO NA LAZIMA, KUNA RAHA YA AJABU SANA MY DEAR. NAJUA PENGINE KUNA JAMBO LIMEKUKATISHA TAMAA AU LIMEKUJERUHI HATA HUPENDI KUSIKIA HILO JAMBO. KAMA NI HIVYO CHUKUA HATUA MAANA PAMOJA NA KUWA UNA KILA KITU, KUOLEWA BADO NI JAMBO MUHIMU SANA KWAKO.

ONDOA HOFU SHOSTI, KUNA UPENDO WA AJABU NA RAHA YA AJABU UKIPATA MWENZA TOKA KWA BWANA.
labda ila sidhani,nafikiri ni kuongeza matatizo yasiyo ya lazma tu,ila nimeipenda sana signature yako,sijui uliwaza nini
 
labda ila sidhani,nafikiri ni kuongeza matatizo yasiyo ya lazma tu,ila nimeipenda sana signature yako,sijui uliwaza nini

kitu cha msingi shosti you need to love being married. Omba mungu akupe mwenza mzuri na nakuhakikisha wapo. Ndoa njema hunenepesha, huleta smile ya ajabu na siyo kweli kqwamab kuolewa huleta matatizo nafikiri tatizo ni kuwa watu wengi wamejingiaz kwa sababu ya tamaa ya mapenzi na si ukweli kwamba walichaguana kama mume na mke. Nb sikujua kuwa my avatar ni nzuri. Tahnks for your compliments.
 
unakaribishwa kaka,nzuri sana na inagusa hisia za kila mtu
 
Back
Top Bottom