Mwenye thread naomba kuuliza swali !!
1. Kwann ukilala na mwanamke mpka asubuhi anapata mimba ila sio ujauzito ???
2.naomba kuuliza kwaito kimakonde inachezwaje ??
3.nitumie njia gani ili nipige selfie na simba pale mikumi ??
4.eti kwann m2 akilala uchi anaota ndoto za kutisha
5.kwann nyumba ikijengwa wanaanzia chin ?? Kwann wasianzie kujenga kwanza kwenye bati then washuke chini halaf hatua ya mwisho iwe kujenga msingi ??
6. Kwann timu yangu ikishinda huwa si shangiliii..
7.eti kuoga bila sabun inaondoa nuksi ??
8.eti ni kweli hainaga ushemeji tunakulaga
9.Eti ni kweli Alikiba na diamond ni ndugu ??
10. Eti bill gate ni mgogo.. Na atahamia dodoma kuifuata serikali ???
Naomben majibu