Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hawapendi ishu za ufuatiliqji wa mambo ya kibiashara. Anataka akunje tu chake bila stress.
Kama alikua hatak stress asinge fungua kabisa, kwa sabab hata kupangisha nako n stress vile vileWengine hawapendi ishu za ufuatiliqji wa mambo ya kibiashara. Anataka akunje tu chake bila stress.
Hii ni Boko Basihaya au Dawasco?🔴 KITUO CHA MAFUTA KINAPANGISHWA BOKO, DAR ES SALAAM 🔴
Je, unatafuta fursa ya kuendesha biashara ya kituo cha mafuta katika eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika? Sasa unaweza kupata kituo cha kisasa cha mafuta kinachopangishwa katika Jiji la Dar es Salaam maeneo ya Boko kwa gharama nafuu!
📍 MAHALI
📌 Kituo kipo Boko, Dar es Salaam, eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika na mazingira mazuri kwa biashara.
📌 Kimejengwa kwa viwango vya kisasa, kikiwa na miundombinu bora na salama kwa ajili ya biashara ya mafuta.
💰 KODI NA MASHARTI YA UPANGAJI
💰 Kodi ya Kituo: TZS 8000,000 kwa mwezi
💰 Malipo: Makubaliano yanaweza kufanyika kulingana na utaratibu wa mpangaji na mwenye kituo.
⛽ UWEZO WA KITUO
✅ Matenki matatu yenye uwezo wa kuhifadhi mafuta:
Diesel: Lita 25,000
Petrol: Lita 25,000
Diesel (Ndogo): Lita 9000
✅ Pampu za kisasa kwa ajili ya utoaji wa huduma bora kwa wateja.
🏢 FAIDA ZA KITUO
✅ Kina fremu za biashara kwa ajili ya upangishaji – fursa nzuri kwa biashara ndogondogo kama duka, ofisi za huduma, na biashara nyingine zinazovutia wateja wa kituo.
✅ Kina uwezo wa kukopesheka mafuta kutoka kwa makampuni makubwa – fursa nzuri kwa mpangaji kupata mtaji wa kuendesha biashara kwa urahisi.
✅ Eneo salama lenye miundombinu ya kisasa, likiwa na uzio, taa za usiku, na huduma za ulinzi.
✅ Fursa ya kuongeza huduma nyingine kama duka la rejareja, au gereji kwa ajili ya kuongeza kipato.
📞 MAWASILIANO
Kwa maelezo zaidi na kufanya makubaliano ya upangaji, wasiliana nasi kupitia:
📲 Simu/WhatsApp: 0687746471
🚀 Fursa hii ni adimu! Usikose nafasi ya kuwa mmiliki wa biashara ya kituo cha mafuta kwa gharama nafuu!
View attachment 3241795
View attachment 3241796
View attachment 3241797
View attachment 3241798
Dawa kuingia mkataba wa upangishaji muda mrefu mfano kuanzia miaka mitanoHalafu wasi wasi wangu siku kimechanganya kibiashara anaweza kusitisha mkataba aka amua kufanya yeye au akupandishie kodi makusudi, waafrica sio watu wakuaminika
Kwa maeneo hayo Ushindani bi mkubwa sana Kuna makampuni makubwa yanayoageza Mafuta direct kutoka nje wao wanauza Kwa kutoa Discount na kamesheni kubwa Kwa wateja.🔴 KITUO CHA MAFUTA KINAPANGISHWA BOKO, DAR ES SALAAM 🔴
Je, unatafuta fursa ya kuendesha biashara ya kituo cha mafuta katika eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika? Sasa unaweza kupata kituo cha kisasa cha mafuta kinachopangishwa katika Jiji la Dar es Salaam maeneo ya Boko kwa gharama nafuu!
📍 MAHALI
📌 Kituo kipo Boko, Dar es Salaam, eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika na mazingira mazuri kwa biashara.
📌 Kimejengwa kwa viwango vya kisasa, kikiwa na miundombinu bora na salama kwa ajili ya biashara ya mafuta.
💰 KODI NA MASHARTI YA UPANGAJI
💰 Kodi ya Kituo: TZS 8000,000 kwa mwezi
💰 Malipo: Makubaliano yanaweza kufanyika kulingana na utaratibu wa mpangaji na mwenye kituo.
⛽ UWEZO WA KITUO
✅ Matenki matatu yenye uwezo wa kuhifadhi mafuta:
Diesel: Lita 25,000
Petrol: Lita 25,000
Diesel (Ndogo): Lita 9000
✅ Pampu za kisasa kwa ajili ya utoaji wa huduma bora kwa wateja.
🏢 FAIDA ZA KITUO
✅ Kina fremu za biashara kwa ajili ya upangishaji – fursa nzuri kwa biashara ndogondogo kama duka, ofisi za huduma, na biashara nyingine zinazovutia wateja wa kituo.
✅ Kina uwezo wa kukopesheka mafuta kutoka kwa makampuni makubwa – fursa nzuri kwa mpangaji kupata mtaji wa kuendesha biashara kwa urahisi.
✅ Eneo salama lenye miundombinu ya kisasa, likiwa na uzio, taa za usiku, na huduma za ulinzi.
✅ Fursa ya kuongeza huduma nyingine kama duka la rejareja, au gereji kwa ajili ya kuongeza kipato.
📞 MAWASILIANO
Kwa maelezo zaidi na kufanya makubaliano ya upangaji, wasiliana nasi kupitia:
📲 Simu/WhatsApp: 0687746471
🚀 Fursa hii ni adimu! Usikose nafasi ya kuwa mmiliki wa biashara ya kituo cha mafuta kwa gharama nafuu!
View attachment 3241795
View attachment 3241796
View attachment 3241797
View attachment 3241798
Hapo utajifunga vibaya kama biashara haita kua na faida pindi ukitaka kuvunja mkatabaDawa kuingia mkataba wa upangishaji muda mrefu mfano kuanzia miaka mitano
Plus bei ya pango n kasheshe labda alegeze kidogKwa maeneo hayo Ushindani bi mkubwa sana Kuna makampuni makubwa yanayoageza Mafuta direct kutoka nje wao wanauza Kwa kutoa Discount na kamesheni kubwa Kwa wateja.
Mfano Olympic, Petroafrica, Admire, Gudal, Lake oil.
Kwa mtu anayeanza Kwa kukodisha Kituo Cha Mafuta hayo maeneo sio Rafiki sana
Ni Boko MagengeniHii ni Boko Basihaya au Dawasco?
Walikuwa wrzi wa mafuta hawa
Taarifa muhimu umewekewa rudia kusoma.boko sehemu gani basihaya au chama?
Inatakiwa uwezi kuuza at least ltrs 5000 Kwa Siku Eli uwezi kubreak even, maana kwenye Mafuta unaweza kuwa unatafuta faida ya Tshs 50/ Kwa ltr Moja. Kumbuka Malori ya mchanga na dalaldala wanaweka Mafuta kwenye vituo ambavyo wanapewa bonus ya Hadi Tshs 100 Kwa ltr Moja ya Mafuta.Kwa jinsi vituo hivi vinavyoshamiri kila sehemu, sounds a good business…
Hapo alikuwa anapaendesha mwenyewe, naona ameacha anataka 8,000,000 kwa mwezi sawa na 266,000 kwa siku…
Wazoefu watupe desa namna ya kuipata hii figure kwa siku plus other running costs plus margin…
Kwa Boko Magengeni pale ni location nzuri tu mimi naona.