Kituo cha mafuta kinapangishwa Boko, Dar es Salaam

Bora nikanunue mbususu kuliko kupanga kituo cha mafuta 8m kwa mwezi mzabzab

Halafu wasi wasi wangu siku kimechanganya kibiashara anaweza kusitisha mkataba aka amua kufanya yeye au akupandishie kodi makusudi, waafrica sio watu wakuaminika
 
Hii ni Boko Basihaya au Dawasco?
Walikuwa wrzi wa mafuta hawa
 
Halafu wasi wasi wangu siku kimechanganya kibiashara anaweza kusitisha mkataba aka amua kufanya yeye au akupandishie kodi makusudi, waafrica sio watu wakuaminika
Dawa kuingia mkataba wa upangishaji muda mrefu mfano kuanzia miaka mitano
 
Kwa maeneo hayo Ushindani bi mkubwa sana Kuna makampuni makubwa yanayoageza Mafuta direct kutoka nje wao wanauza Kwa kutoa Discount na kamesheni kubwa Kwa wateja.

Mfano Olympic, Petroafrica, Admire, Gudal, Lake oil.
Kwa mtu anayeanza Kwa kukodisha Kituo Cha Mafuta hayo maeneo sio Rafiki sana
 
P
Plus bei ya pango n kasheshe labda alegeze kidog
 
Kwa jinsi vituo hivi vinavyoshamiri kila sehemu, sounds a good business…

Hapo alikuwa anapaendesha mwenyewe, naona ameacha anataka 8,000,000 kwa mwezi sawa na 266,000 kwa siku…

Wazoefu watupe desa namna ya kuipata hii figure kwa siku plus other running costs plus margin…

Kwa Boko Magengeni pale ni location nzuri tu mimi naona.
 
Inatakiwa uwezi kuuza at least ltrs 5000 Kwa Siku Eli uwezi kubreak even, maana kwenye Mafuta unaweza kuwa unatafuta faida ya Tshs 50/ Kwa ltr Moja. Kumbuka Malori ya mchanga na dalaldala wanaweka Mafuta kwenye vituo ambavyo wanapewa bonus ya Hadi Tshs 100 Kwa ltr Moja ya Mafuta.
Wewe unatakiwa kupambana na gari ndogo na bodaboda wawezi kujaza Mafuta kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…