Kituo cha mafuta Lake Oil chateketea kwa moto Geita

Hii ajili mbona kama ni bomu la kutegwa au planned, moto umeanza ndani ya gari baada ya kufika kituoni na gari ikazima
Hebu nyoosha maelezo. Moto unaanzeje ndani ya gari halafu gari hilo liweze kufika kituoni na kuzima? Ulishaona au kushuhudia gari lililotegwa bomu halafu bomu hilo likalipuka??? au tuseme mtu aliyejitega au kujilipua kwa bomu inavyokuwa?
 
Moto umeanzia ndani ya gari ila sio upande wa dereva, wakati gari linajazwa mafuta.
It is perfect timing or coincidence
 
Back
Top Bottom