Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Hii ni rent ya mwezi, au?Price 8M eighty millions
Mwezi mmoja ni 8M8M kwa mwaka, mwezi ama muda gani mkuu?
Hii biashara Ina mzunguko sana Mkuu ndo maana kila sehemu vituo vinajengwa .M 8 Kwa mwezii🤔🤔,,,aiseé watu wako na pesaa
Hii ni rent ya mwezi, au?
Halafu unamaanisha 8m au eighty million? Maana hizo ni tofauti
Maskini Bruno, ndugu zake wamemfilisi hadi kukodisha kituo chake! Dunia siyo fairKituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni .
Price 8M - eight million per month
Bei million nane Kwa mwezi
Kina matenki matatu
Diesel lita 25000
Petrol lita 25000
Diesel lita 900
View attachment 3226246
Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970
Call 0625085224 Kwa mazungumzo
Mtu anapanga nyumba analipia 1milion kwa mwezi analipa mwaka, na hiyo ni nyumba anakaa tu, itakuwa 8milion kwa sehemu ya biasharaM 8 Kwa mwezii🤔🤔,,,aiseé watu wako na pesaa
Bado hajaelewa Asante Kwa jibu zuriMtu anapanga nyumba analipia 1milion kwa mwezi analipa mwaka, na hiyo ni nyumba anakaa tu, itakuwa 8milion kwa sehemu ya biashara
Kumbe ni mali ya Bruno? Aliwekeza pia kwenye Engen.Maskini Bruno, ndugu zake wamemfilisi hadi kukodisha kituo chake! Dunia siyo fair
Kwa mwezi8M kwa mwaka, mwezi ama muda gani mkuu?