House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

Kila la kheri ,ungeandika tu Kituo Cha Mafuta(wazungu wanaita Filling Station/Gas Station) ingetosha kuongezea neno Sheli wakati Si Sheli ni Olicom unazidi kuchanganya watu...Ni Sawa uandike unauza Dawa ya Meno Colgate halafu Mbele yake uandike Whitedent sasa hapo unachanganya watu kipi unachouza ni Colgate au Whitedent maana zote ni Dawa za Meno....Sheli na oilcom vyote ni vituo vya Wese....Najua unaelewa ila ni vyema kuweka maneno kwa usahihi.
 
Maskini Bruno, ndugu zake wamemfilisi hadi kukodisha kituo chake! Dunia siyo fair
Mimi nilijua vituo vyote vya Oilcom anamiliki yule mwarabu aliyegombana na Ubalozi wa USA(TZ) kutaka kujenga Filling Station pale jirani yao na kumlazimisha kuacha kisha akaweka Super market baadae akawapangisha Zantel(Yas).
 
Wao husupply mafuta tu kWa mkopo, na hiyo ndiyo ilimfilisi Bruno maana alipokuwa matibabu, walikuwa hawalipi
 
Kituo cha mafuta ni huduma siku zote, zikiwa nzuri mambo yanakuwa mazuri.
 
Kwa mwaka
 
Attachments

  • IMG_6522.png
    IMG_6522.png
    221 KB · Views: 2
Back
Top Bottom