Black Opal JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 304 Reaction score 545 Oct 29, 2025 #1 KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu. Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu. Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 29, 2025 #2 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 29, 2025 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Oct 29, 2025 #5 Kizuri zaidi mamilioni ya wananchi hawajapiga kura, nchi sio ya Samia na genge lake
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Oct 29, 2025 #6 RIsasi wamepuga juu, kulinda vibarua vyao. Maana wataulizwa ilikuwaje watasema tulipuga risasi juu kuwatawanya lakini waliendelea kuja tukakimbia. Usihofu tutafika Mbweni, mikocheni, masaki na oysterbay napema tu.
RIsasi wamepuga juu, kulinda vibarua vyao. Maana wataulizwa ilikuwaje watasema tulipuga risasi juu kuwatawanya lakini waliendelea kuja tukakimbia. Usihofu tutafika Mbweni, mikocheni, masaki na oysterbay napema tu.