Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashutumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi.

Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu kubwa ya kutupa uchafu na tokea kugundulika tokea jana na leo tarehe 13, wananchi wenye jaziba husasani wa GEN-Z wanaona ijatosha ata kujiuzuru kwa IGP wao bado sio kigezo kwa ruto kujisafisha.

Picha zinatisha.
GSV5wkRXsAAGCVJ.jpg

Soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
 
Aisee nchi za kiafrika bana , kwa hiyo Ruto na squad zake za wauaji wakaona solution ni kufanya mauaji mithiri ya wasiojulikana wa hapa Bongo au sio ?
 
Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi.

Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu kubwa ya kutupa uchafu na tokea kugundulika tokea jana na leo tarehe 13, wananchi wenye jaziba husasani wa GEN-Z wanaona ijatosha ata kujiuzuru kwa IGP wao bado sio kigezo kwa ruto kujisafisha.

Picha zinatisha.
View attachment 3041267

Soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
Aisee
 
Back
Top Bottom