mauaji ya waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Aliyekuwa Rais wa Seneti ahukumiwa Jela miaka 10 kifungo cha kazi ngumu kwa mauaji ya Waandamanaji

    Rais wa zamani wa Seneti ya Madagascar, Richard Ravalomanana, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 cha kazi ngumu kwa madai ya kuhusika katika ukandamizaji wa vurugu dhidi ya maandamano yaliyoongozwa na vijana, ambayo yalichangia kuanguka kwa serikali iliyokuwa madarakani mwaka 2025 Ravalomanana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Iran yasimamisha mauaji ya waandamanaji walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa hofu ya kushambuliwa na Marekani

    Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Video za Mochwari za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM zenye miili ya waandamanaji waliouawa ni halisi

    Shirika la Habari la CNN kupitia uchunguzi wake limebaini kuwa video za vijana waandamaji waliouawa wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025 kisha miili yao kuonekana kwenye Hospitali za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM ni halisi. Kwa mujibu wa CNN, daktari mmoja wa Sekou Toure...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaikingia kifua Polisi Mauaji ya Waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo ya Bunge la Nairobi yakivamiwa Akiongea mbele ya Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, Kindiki...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashutumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde

    Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi. Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu...
Back
Top Bottom