PostGE2025 CNN: Video za Mochwari za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM zenye miili ya waandamanaji waliouawa ni halisi

PostGE2025 CNN: Video za Mochwari za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM zenye miili ya waandamanaji waliouawa ni halisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
1000514841.jpg


Shirika la Habari la CNN kupitia uchunguzi wake limebaini kuwa video za vijana waandamaji waliouawa wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025 kisha miili yao kuonekana kwenye Hospitali za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM ni halisi.

Kwa mujibu wa CNN, daktari mmoja wa Sekou Toure amethibitisha kuwa Polisi walipeleka miili mingi ya watu kiasi cha kujaa kwa mochwari, kisha wakaamuru wengine wawekwe nje kutokana na ufinyu wa sehemu.

Pia soma CNN: Polisi walitumia Silaha za Moto kuua waandamanaji. Makaburi ya 'Kondo' yametumika kuzika waliouawa kwenye makaburi ya pamoja

Chanzo: CNN
 
Back
Top Bottom