Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
AiseeKenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi.
Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu kubwa ya kutupa uchafu na tokea kugundulika tokea jana na leo tarehe 13, wananchi wenye jaziba husasani wa GEN-Z wanaona ijatosha ata kujiuzuru kwa IGP wao bado sio kigezo kwa ruto kujisafisha.
Picha zinatisha.
View attachment 3041267
Soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
Maandamano ya jumanne yatakua Makubwa zaidiHABARI HIVI KARIBUNI
kuna hatari maandamano yakazuka upya
Uwezi jua pia , unaweza kukuta wapinzani wa ruto ndo wamefanya hivyo.Aisee nchi za kiafrika bana , kwa hiyo Ruto na squad zake za wauaji wakaona solution ni kufanya mauaji mithiri ya wasiojulikana wa hapa Bongo au sio ?