DOKEZO Kituo cha Polisi Nkuhungu Dodoma kichunguzwe kwa Rushwa

DOKEZO Kituo cha Polisi Nkuhungu Dodoma kichunguzwe kwa Rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Konny Joseph

Senior Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
118
Reaction score
199
Kesi nyingi zinazopelekwa kituoni hapo zinashindwa kupata ufumbuzi wala kupelekwa mahakamani kwa kuwa askari wenye dhamana kituoni hapo wamekithiri katika uombaji wa rushwa.

Watu wengi wanawekwa mahabusu kwa issue za madai ambazo kimsingi Jeshi la Polisi kisheria huwa hawahusiki nazo.

Watu wanaoleta malalamiko kituoni hapo wanalazimishwa kutoa fedha kama gharama za kushughulikia malalamiko yao, jambo linalotoa uzito kwa watu kupeleka malalamiko yao kituoni hapo.
 
MAJAMBAZI yaliyoajiriwa hayo ndugu...ni wala rushwa haswa.
 
Kwani we ni mara yako ya kwanza kupata huduma polisi?

Kweli wamekisiri[emoji1]
 
Ukiona Mtuhumiwa wako hapelekwi Mahakamani, basi ujuwe kabisa Jalada lake lina asali, na litaganda sana police au kwa Wakili wa Serikali hadi Muhanga unakataa tamaa!!
 
Back
Top Bottom