Please naomba mnijulishe ni kituo kipi kizuri kwa kusomea ili kuweza kufanya mitihani ya QT..
Hapo usithubutu kuna mtu anaitwa John Mwaigombe mwenye S.L.P 62460 anatabia ya kuchukua hela za watahiniwa kwa kujifanya atawasajili yeye mwenyewe kwenye mtandao, kitakachofuata hapo pesa ya ada ya mtihani iliyopaswa kulipwa NECTA anakula yeye.kama upo dsm nenda buguruni hekima upland academy