Kituo cha QT.

Kituo cha QT.

Switone

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
120
Reaction score
47
Please naomba mnijulishe ni kituo kipi kizuri kwa kusomea ili kuweza kufanya mitihani ya QT..
 
kama upo dsm nenda buguruni hekima upland academy
 
kama upo dsm nenda buguruni hekima upland academy
Hapo usithubutu kuna mtu anaitwa John Mwaigombe mwenye S.L.P 62460 anatabia ya kuchukua hela za watahiniwa kwa kujifanya atawasajili yeye mwenyewe kwenye mtandao, kitakachofuata hapo pesa ya ada ya mtihani iliyopaswa kulipwa NECTA anakula yeye.

Kitakachofuata hapo ni kukataliwa na NECTA kwamba hujalipa ada wakati umempa mwenye kituo akusajili na kukupelekea pesa NECTA kumbe pesa kala mwalimu.

Hicho kituo nakifahamu sana, mwaka huu tayari baadhi ya watahiniwa wa CSEE & QT 2013 akiwemo mtoto wa rafiki yangu yamewakuta hayo. Kilichowashtua watu ni mfumo mzuri wa NECTA kutaarifu wateja wake kwa njia ya simu na kwa bahgati nzuri kwenye fomu ya huyo mtahiniwa kuliwekwa namba ya simu ya mtahiniwa.
 
Back
Top Bottom