chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche.
Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa vitunge kanuni za ulinzi wa haki za kijinsia, hata kama nibkwa dharura, kuzuia ubaguzi wa kijinsia, kikanda, kikabila na kidini.
Mgombea atakayebainika kufanya hivyo katika kampeni zake au mikutano ya kisiasa, afungiwe kugombea nafasi yoyote ile kwa miaka mitano au hata maisha. Hii itakomesha ushenzi unaofanywa na Hawa jamaa.