Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Tuma picha tafadhali, au ni *****!
Picha wakati wakiiba au baada ya kuibiwa na utajuaje kuwa hivyo vitu binavyodaiwa kuibiwa vilikuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma picha tafadhali, au ni *****!
Du kali kama kweli
radio Iman Mbona yenyewe haivamiwi?
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio WAPO leo asubuhi kupitia kipindi cha "Patapata" ofisi na studio za Agape Television (ATN) zimevamiwa na kundi la watu zaidi ya 20 waliokuwa wamejiziba nyuso zao kininja usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8 usiku.
Walinzi walizidiwa nguvu na kuzibwa midomo kwa gundi na kufungwa kamba. Wakavamia studio na kuvunja na kupora vitu mbali mbali.
Bado haijajulikana hasara zilizosababishwa na uharifu huo pia haijajulikana wahusika ni kina nani. Ila kwa jinsi upepo ulivyo na movement ya ugaidi chini ya imani fulani, unaweza kuhisi ni nani walio nyuma ya mpango mzima. Toka uasisiwe ugaidi wa kininja kupitia dini hiyo.
Watu wa AGAPE jueni kuwa kisasi ni cha BWANA!
I see, kama ni kweli basi tumefika kubaya. Sijui utakuwa bado ni mwendelezo ule ule wa chuki za kidini au kuna jambo lingine hapo tofauti?
Kwa taarifa za ziada ni kuwa majambazi hayo kabla ya kufanya ujangili wao, waliwateka walinzi na kuwafunga vitambaa vyeusi.