Kwa mujibu wa matangazo ya Radio WAPO leo asubuhi kupitia kipindi cha "Patapata" ofisi na studio za Agape Television (ATN) zimevamiwa na kundi la watu zaidi ya 20 waliokuwa wamejiziba nyuso zao kininja usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8 usiku.
Walinzi walizidiwa nguvu na kuzibwa midomo kwa gundi na kufungwa kamba. Wakavamia studio na kuvunja na kupora vitu mbali mbali.
Bado haijajulikana hasara zilizosababishwa na uharifu huo pia haijajulikana wahusika ni kina nani. Ila kwa jinsi upepo ulivyo na movement ya ugaidi chini ya imani fulani, unaweza kuhisi ni nani walio nyuma ya mpango mzima. Toka uasisiwe ugaidi wa kininja kupitia dini hiyo.
Watu wa AGAPE jueni kuwa kisasi ni cha BWANA!