Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

Imefika wakati hofu na mambo yanavyokwenda tutashindwa hata kufanya mambo yenye maana.
 
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kituo cha matangazo cha televisheni cha ATN kimevamiwa na watu wasiofahamika.
Watu hao wamefanikiwa kuvunja mali zote ikiwemo na kung'oa vifaa vyote vya kurushia matangazo.

Sio majambazi hao, ni waislamu!
 
Kweli Njaaa Nomaaa Vijana ni Bomu litalokuja kulipuka(By Lowassa) na Lishaanza!!
"Vifaa vilivyoibiwa ni Desktop computers 3, Laptop computers 3 na DvD recorders 2" JOb True true....
 

Pepo mchafu ashindwe
 
Poleni watumishi wa ATN TV;na Mungu atawalipa,tena kisasi ni cha Mungu dhidi ya adui yenu mkuu.Mwisho,nashukuru Moderator kwa taarifa sahihi kwa umma.
 
Bingo hiyo computer 6 unataka nini tena m3 ya haraka haraka hukosi hapo.Ajira nguvu yako ukitumia kichwa kama huna refa hupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…