Kamyamya
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 560
- 572
Kweli kabisa mkuu wakati ule na hata Sasa watu walijua TV zote ni ITVSuperbrand kwa sasa hapa bongo ni UTV tu hiyo ITV ilikua zaman bana miaka ya 2004 nikiwa mdogo ITV ilikua ikigoma nlikua nakosa raha na muda mwngne ilibidi nipande juu ya bati kurekebisha antenna kwa kujifichaficha wazee wasinione enzi hizo hapo sina hata miaka 9.
Enzi hizo nyumban kwenu kama mna TV ambayo haishiki ITV hiyo TV inakua ni sawa na radio iliyochangamka tu