Kituo cha television ITV Tanzania, kweli ni Super Brand

Kweli kabisa mkuu wakati ule na hata Sasa watu walijua TV zote ni ITV
 
Umewashitaki, sasa subiri wapokee vikwazo vya uhujumu uchumi na ugaidi.
 
UTV wako poa sana..Azam wanajitahidi sana..

ITV wananiachaga tu hoi na habari zao za michezo..yaani mara mashindano ya bao,kuvuta kamba..yaani
Ndio michezo yetu mzee baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nalog off
 
ITV baada isidingo kuisha nimebaki natazama tu meza huru,,na mizengwe Basi....huo usupa burandi Mimi siuoni kabisaa
 
Hata Mimi siangaliagi habari za uchafuuchafu huko ITV Mimi naangaliaga UTV huko ndio superbrand hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…