Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa na ukienda kituo kingine unalikuta! na kwamba inaonekana haikua bahati mbaya kwani jina la kwanza huku kule lilionekana sehemu nyingine, jamani naombeni mwenye taarifa kamili zaidi toka watu wa shinyanga au aliesikiliza kipindi hicho

This is their strategy na ni nchi nzima ndiyo maana walichelewa kuyabandika ili watu wasigundue huu upuuzi. Na vituo hivyo fake vimeshaandaliwa kura zake tayari zenye tick ya JK na mawakala wake ni UWT. Wapinzani fanyieni kazi hii issue haraka iwezekanavyo nchi nzima vinginevyo mmekwisha. Hili ndiyo bao la mkono la CCM
kabisa! ni lazima wapinzani wawasiliane na NEC haraka iwezekenavyo ili kufuatilia huu upuuzi na kuhakikisha wanapata maelezo ya kina.
Nafikiri WAPO radio wanaweza kuirudia tena hii taarifa kesho kwene kipindi chao cha patapata saa moja na robo asubuhi, hata hivyo msimamizi wa kituo alisema haelewi jambo hilo na kituo kilikuwa na majina zaid ya 200! naombeni watu wa shinyanga wwnye taarifa zaidi watupatie
Mkuu hii radio iko mkoa gani na frequency zake ni zipi mkuu?
How can I communicate with CHADEMA senior officers????
Mkuu NEC ndiyo players wenyewe, sasa sioni kama kuna kuwasiliana nao cha kufanya ni kukusanya ushahidi kwa kuhakiki nchi nzima siku ya leo na kesho kisha kuutangaza huu uchaguzi kuwa ni VOID AB INITIO - Batili hata kabla haujafanyika
Miaka yote huwa wanawatumia walimu kama wasimamizi wa vituo ila mwaka huu wamewapiga chini, you know what will happen?, ni kwamba learning curve kwa watu wasiyo na uzoefu italazimisha ama wapiga kura wakate tamaa kwa slow pace of the process ama muda usitoshe wa kupiga kura na hivyo ku extend zoezi mpaka tarehe moja ili kutoa muda mzuri wa kuchakachua. Halafu walimu wana madai yao hawajalipwa hivyo CCM wanaogopa kuwa huenda watakataa kutumika katika uchakachuaji na kusimamia haki.