Kituo gani kinarusha mkutano wa kwanza wa bunge la katiba.?

Kituo gani kinarusha mkutano wa kwanza wa bunge la katiba.?

Naona tbc1 wanawahoji washiriki. wamesema hadi saa nane mchana huu
 
TBC nadhani ndio wataonesha yanayojiri kwenye huo mkutano wa kujadili katiba mpya...
 
uvivu mpaka kwenye kongosho, yaani unaomba likizo bila malipo ili uangalie TV?

pole ndg yangu,inaonekana haujui umuhimu wa Katiba.Yaan inaonekana hata ukoo wenu hamjui katiba ni anini mkuu na umuhimu wake.Pole.
 
Wadau na wanajamvi naomba kufahamishwa .

Mchakato wa kupata katiba mpya hauonyeshwi kwenye luninga.????
 
TBC CCM Yako busy kuonesha Ma Paka yanapigana na mi Panya buku
 
maccm ndo wamejaa dodoma hawana jipya wezi hawa sina haja ya kuwaangalia
 
Back
Top Bottom