Kituo kinachofuata ni Kariakoo

Kituo kinachofuata ni Kariakoo

Planeti

Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
86
Reaction score
93
Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..

Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA

Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.

Eehh Mungu unisaidie...
 
Umefika kiwanda cha keds kibaha?
 
Umefika kiwanda cha keds kibaha?
Mkuu nimezunguka viwanda vinavyopatikana temeke pasipo matumajni yeyote..

Ma Superviser wanataka Pesa na mie sina kitu..

Kama itakupendeza, ninaomba A B C za huko #Kebs
 
Mrejesho..

Bda ya kufika KKOO, nimekuta kazi mbalimbali..

Moja ya kazi hizo nimekuita maeneo ya Gerezani ni..

Godown la majora . Aise hii ni kazi ngumu. Ngumu kweli kweli..

Yani mnapanga majora kama marobot. Pesa Kiduchu #Tsh5000 peke e. Kazi mnaanza asubuhi paka usiku. Aiseeee

Naendelea kutafuta wakuu..

Nitarejea kwa mrejesbo
 
Mwanaume ni kupambana..komaa humo humo utaendelea kupata konekisheni..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo Mkuu Planet hiyo ya kupanga majora umeifanya kwa siku moja tu ukaikimbia[emoji23][emoji134]naomba nikushauri,nenda pale Mbezi Stend nje,jichanganye pale uwe kondakta wa magari madogo private au IT,huwa zinasimama pale kula vichwa,ukiwa sharp hukosi 20,000 kwa siku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..

Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA

Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.

Eehh Mungu unisaidie...
We ni mwanamke au mwanaume?
 
Kwa hiyo Mkuu Planet hiyo ya kupanga majora umeifanya kwa siku moja tu ukaikimbia[emoji23][emoji134]naomba nikushauri,nenda pale Mbezi Stend nje,jichanganye pale uwe kondakta wa magari madogo private au IT,huwa zinasimama pale kula vichwa,ukiwa sharp hukosi 20,000 kwa siku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wale jamaa wana umoja wao na viongoz wao kabisa. Lazma utimize vigezo ndo ujiunge nao ikiwemo pesa taslimu.Sasa je jamaa ana hcho kiingilio?? Mana kasema hana pesa kabisa. Huwez Toka from nowhere ukaanza kusimamisha magar pale
 
Duh aiseeh! Je wanalipa kodi hao?
 
Ukiotea chimbo la kubeba beba box nishtue Chief. Nikutakie kila la kheri katika utafutaji wako.
 
Wahi Alfajiri Kariakoo shimoni. Utawakuta wenzio kibao ...... ila usiibe hata iweje....Bidhaa zinaposhushwa unaweza kusanya mazao mbalimbali na kuanza kuuza kidogo kidogo na mwisho utaelewa maisha ya biashara ndogondogo za pale yanakuwaje. Hutakosa pesa ya kula ya siku!
 
Back
Top Bottom