Umefika kiwanda cha keds kibaha?Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..
Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA
Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.
Eehh Mungu unisaidie...
Mwanaume ni kupambana..komaa humo humo utaendelea kupata konekisheni..Mrejesho..
Bda ya kufika KKOO, nimekuta kazi mbalimbali..
Moja ya kazi hizo nimekuita maeneo ya Gerezani ni..
Godown la majora . Aise hii ni kazi ngumu. Ngumu kweli kweli..
Yani mnapanga majora kama marobot. Pesa Kiduchu #Tsh5000 peke e. Kazi mnaanza asubuhi paka usiku. Aiseeee
Naendelea kutafuta wakuu..
Nitarejea kwa mrejesbo
We ni mwanamke au mwanaume?Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..
Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA
Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.
Eehh Mungu unisaidie...
Wale jamaa wana umoja wao na viongoz wao kabisa. Lazma utimize vigezo ndo ujiunge nao ikiwemo pesa taslimu.Sasa je jamaa ana hcho kiingilio?? Mana kasema hana pesa kabisa. Huwez Toka from nowhere ukaanza kusimamisha magar paleKwa hiyo Mkuu Planet hiyo ya kupanga majora umeifanya kwa siku moja tu ukaikimbia[emoji23][emoji134]naomba nikushauri,nenda pale Mbezi Stend nje,jichanganye pale uwe kondakta wa magari madogo private au IT,huwa zinasimama pale kula vichwa,ukiwa sharp hukosi 20,000 kwa siku
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Duh aiseeh! Je wanalipa kodi hao?Wale jamaa wana umoja wao na viongoz wao kabisa. Lazma utimize vigezo ndo ujiunge nao ikiwemo pesa taslimu.Sasa je jamaa ana hcho kiingilio?? Mana kasema hana pesa kabisa. Huwez Toka from nowhere ukaanza kusimamisha magar pale
I dont thinkDuh aiseeh! Je wanalipa kodi hao?