Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Hii gari nimeanza kuipenda siku za karibuni. Naomba kupewa muongozo wa uzuri na udhaifu wake.
 
Jamani vipi kuhusu Nissan Dualis, bei yake ipoje, spea zake, utumiaji wake wa mafuta, Uimara wa gari,nk
 
Aiseeh!! Kweli watu tumetofautiana.

Kwa muundo ule mbona naona Kama linatisha afu lipo chini Sana.

Mimi huwa najiambia gari nyingi zilizopo chini sana ni kwaajili ya dada na mama zetu.

Mkuu Kipendacho roho lakini, Kila la Kheri
Kwa nje ina muonekano mzuri, tatizo naona ni kuwa lipo chini sana
 
Gari nzuri sana hasa kama ni mtu wa safari chukua yenye cc 1800 ni balaa na steering wheel yake haishake ukiwa speed kama zilivyo baadhi ya Toyota
 
Nakuuzia yang 16.5m
Nitafute kwa 0689854866 ,tuongee biasharaView attachment 2828754View attachment 2828755View attachment 2828756View attachment 2828757
IMG-20231129-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom