Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee.
Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya maslahi yake binafsi.
Canada kazi ya marekani wameiona, Mexico wameiona, Denmark wameiona, umoja wa ulaya wameiona, Ukraine na sasa wanaiona namna marekani alivyo na sera zake anavyoweza kubadilika kama kinyonga.
Napata mashaka kuwa kituo kinachofuta ni Asia na Taiwan atakuwa katika nafasi mbaya zaidi.
Kwanza kabisa Trump kawaambia Taiwan lazima waamishe TSMC kwenda marekani hiki ni kiwanda kilichoshika uchumi wa Taiwan kwa asilimia kubwa hii ni hasara, pili kawataka lazima wa share ujuzi na makampuni ya kimarekani changamoto nyingine hii
Hii inaonesha hawana nafasi ya upekee kiasi hicho katika siasa za marekani bali marekani yupo pale na Taiwan kimaslahi yake binafsi.
Kuna hatihati ya Taiwan kuweza kutoswa kama anavyotoswa Ukraine.
South Korea wakae chonjo