Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Heheheunauonaje uchaguzi mwaka huu hapa tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheunauonaje uchaguzi mwaka huu hapa tz?
Pia usisahu saudi arabia Qatari UAE . hawapaswi kumtegemea usa kabisa kama mlinzi waoPale Taiwan,US imeshaona mbele! Uwezo wa kuikabili China haupo.China inazidi kuwa tishio kijeshi na kiuchumi kwa US.
Kwa hiyo ni bora ianze kujiondoa taratibu huko.
Hao ndio natamani wajae leo kesho ili akili ziwarudiPia usisahu saudi arabia Qatari UAE . hawapaswi kumtegemea usa kabisa kama mlinzi wao