Kituo kinachofuata Taiwan napata mashaka

Kilia nchi sasa iruhusiwe tu kutengeneza au kununua nuclear za kujilinda.
Nafikiri hali hii inayo endelea kwa Ukraine itahamasisha mataifa mengi zaidi kumiliki silaha za maangamizi
 
Pale Taiwan,US imeshaona mbele! Uwezo wa kuikabili China haupo.China inazidi kuwa tishio kijeshi na kiuchumi kwa US.
Kwa hiyo ni bora ianze kujiondoa taratibu huko.
 
Pale Taiwan,US imeshaona mbele! Uwezo wa kuikabili China haupo.China inazidi kuwa tishio kijeshi na kiuchumi kwa US.
Kwa hiyo ni bora ianze kujiondoa taratibu huko.
Pia usisahu saudi arabia Qatari UAE . hawapaswi kumtegemea usa kabisa kama mlinzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…